CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Wednesday 22 March 2017

MATOKEO NA VYETI VYA VETA


Vyeti kwa wahitimu katika vyuo mbalimbali vya Ufundi Stadi nchini vya hadi Mei 2015 vimeshatoka.
Kama hujapata cheti chako tafadhali wasiliana na chuo ulichosoma au ofisi za VETA Kanda uliyopo ili kujua tatizo linalosababisha wewe kutopata cheti mpaka sasa. Tatizo kubwa limekuwa ni kutowasilisha picha kwa wakati.                                                                                                  
Aidha,matokeo ya waliofanya mitihani Desemba, 2016 yatatoka wiki ijayo hivyo kuanzia tarehe 24 Machi, 2017 tembelea tovuti ya VETA ambayo ni www.veta.go.tz uweze kuyapata

No comments:

Post a Comment