CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Thursday 28 July 2022

TANGAZO: NAFASI ZA MASOMO BURE KWA KOZI YA UMEME WA MAJUMBANI KUPITIA MFUMO WA VSOMO

 


Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa kwa Kushirikiana na Forum for International Cooperation (FIC) tunatoa nafasi za Masomo BURE kwa Kozi ya Umeme wa Majumbani kupitia mfumo wa VSOMO.

Katika kozi hii, Mwanafunzi utasoma masomo ya nadharia kupitia VSOMO App inayopatikana Google Play Store, kisha utajiunga na Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa kwa ajili ya Mafunzo ya Vitendo kwa muda wa Wiki Mbili. Mafunzo yataanza kuanzia Tarehe 9/08/2022, Baada ya Kuhitimu, mwanafunzi utakayefaulu utatunukiwa  Cheti.

Nafasi zilizopo ni kwa wanafunzi 100 Tu.

Namna ya Kuomba ufadhili huu:

1: Pakua VSOMO App kupitia Google Play store Link https://bit.ly/3nnYBV6

2:  Jisajili kwenye mfumo wa VSOMO

3: Kisha Chagua Ajira Kwa Vijana na ujaze fomu ya maombi!

 NB: Wanawake wanahimizwa kuomba nafasi hizi

 Mwisho wa kutuma Maombi ni Tarehe 31/07/2022

 Kwa Mawasiliano tafadhali Piga au Whatsapp 0714720381

 Tangazo hili limetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa.

No comments:

Post a Comment