Pages

Tuesday 30 April 2024

Wanafunzi na watumishi wa Chuo cha VETA Mkoa wa Geita katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore, wakati wa ziara yake katika chuo hicho tarehe 29 Aprili,2024.

Wanafunzi na watumishi wa Chuo cha VETA Mkoa wa Geita katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore, wakati wa ziara yake katika chuo hicho tarehe 29 Aprili,2024.

Katika ziara hiyo, CPA Kasore aliambatana na Mkurugenzi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Abdallah Ngodu, Kaimu Mkurugenzi wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo, Angelus Ngonyani na Kaimu Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Ziwa, Ramadhan Sebbo ambapo viongozi hao walizungumza na watumishi na wanafunzi wa chuo hicho.

No comments:

Post a Comment