CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Tuesday 18 September 2018

TANGAZO LA KUJIUNGA NA VYUO VYA VETA KWA MWAKA 2019



MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) INAPENDA KUWAJULISHA WANANCHI WOTE KUWA FOMU ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA MWAKA 2019 ZITATOLEWA KATIKA VYUO VYOTE VYA VETA NCHINI KUANZIA  TAREHE 1 AGOSTI 2018 .

WATU WOTE WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA NA KUENDELEA WANAOTAKA KUJIUNGA KATIKA VYUO VYA VETA WANAKARISHWA KUCHUKUA FOMU HIZO
MWISHO WA KUCHUKUA FOMU NI TAREHE 30 SEPTEMBER 2018.

KUPATA FANI NA MADARAJA ZITAKAZOTOLEWA KATIKA VYUO VYA VETA MWAKA 2019 FUNGUA KIAMBATANISHI KIFUATACHO

1 comment:

  1. mbona formu za maombi ya chuo cha veta shinyanga hazionekani kwenye mitandao, tunazipataje naomba kupewa maelekezo

    ReplyDelete