Picha mbalimbali za wafanyakazi wa VETA Makao Makuu pamoja na wafanyakazi wa Chuo cha VETA Dodoma, wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment