CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Sunday 22 January 2023

MAANDALIZI YA UJENZI WA VYUO 64 VYA UFUNDI STADI VYA WILAYA NCHINI


 Tarehe 21 Januari,2023, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA,CPA Anthony Kasore amekagua kiwanja kitakachotumika kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Songwe ikiwa ni hatua za maandalizi ya ujenzi wa vyuo 64 vya Ufundi Stadi vya Wilaya nchini unaotarajiwa kuanza hivi karibuni!CPA Kasore aliongozana na viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Songwe akiwemo Mbunge wa Jimbo la Songwe, Mhe. Philipo Mulugo.

No comments:

Post a Comment