Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeibuka Mshindi wa Pili katika kundi la Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba), huku ikifuatiwa na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kilichoshika nafasi ya tatu. Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji ndicho kilichoshika nafasi ya kwanza katika kundi hilo.
Maonesho hayo
yamefungwa, tarehe 13 Julai 2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi.
No comments:
Post a Comment