CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Tuesday 17 October 2023

Matukio katika picha wakati wa Uwekaji Jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wa Kitaifa wakati akiweka Jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA. Anthony Kasore, wakati wa hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi katika chuo hicho tarehe 17 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Vyumba vya Madarasa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.


Wananchi mbalimbali waliojitokeza kushuhudia uwekaji wa Jiwe la Msingi Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) cha Wilaya ya Igunga mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.



Muonekano wa majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora kilichowekewa Jiwe la Msingi na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 17 Oktoba, 2023.


No comments:

Post a Comment