Waziri wa nchiofisi ya waziri mkuu, kazi, vijana ajira na wenye ulemavu Prof . JoyceNdalichako amesema serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 9 kwa ajili yaprogram ya mafunzo na kukuza ujuzi kwa vijana 6000 itakayo anza januari 2024. Chanzo savvymedia_live
No comments:
Post a Comment