Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) kupitia Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) wametia sainihati ya makubaliano na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuanzishaushirikiano wa utoaji wa mafunzo yanayolenga kukabiliana na changamoto ya kukuakwa mahitaji ya walimu wa ufundi na ufundi stadi nchini.
No comments:
Post a Comment