CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Sunday, 28 April 2024

Leo tarehe 28 Aprili, 2024, Watumishi wa VETA Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kanda hiyo Bi. Monica Mbelle wameshiriki mbio zilizoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na kupewa jina la TUCTA Mei Mosi Marathon zilizofanyika jijini Arusha kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 1 Mei,2024 @tucta.tanzania

 


Tarehe 28 Aprili, 2024, Watumishi wa VETA Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kanda hiyo Bi. Monica Mbelle wameshiriki mbio zilizoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na kupewa jina la TUCTA Mei Mosi Marathon zilizofanyika jijini Arusha kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 1 Mei,2024 @tucta.tanzania




No comments:

Post a Comment