Je, ungependa kujifunza ufundi wa kutengeneza bidhaa za ngozi kama mabegi, mikoba, viatu, mikanda na aina nyingine nyingi za bidhaa za ngozi? VETA Dakawa
tunakukaribisha ujifunze stadi zote muhimu za utengenezaji wa bidhaa hizi.
Karibu VETA Dakawa, mahali unapoweza kupata ujuzi wa uhakika na wenye kukuwezesha kujiajiri au kuajiriwa.
No comments:
Post a Comment