FURSA MPYA KWA VIJANA! π
Je, wewe ni kijana unayetafuta Maarifa ya ajira na kujiajiri? Usikose Darasa hili maalum kwaajili yako.
UTAJIFUNZA:
✅ Kozi mpya na ujuzi unaohitajika sokoni
✅ Mikopo na msaada kwa wahitimu wa mafunzo ya ufundi
➡️*Utaratibu mpya wakushiriki mafunzo ya VETA*
π GUEST SPEAKER:
Mr. Pasiens Nazary Nyoni
Mkuu wa Chuo VETA Iringa
π Tarehe: 14 Machi 2026
π Muda: Saa 1:30 – 3:30 Usiku
π Mahali: Google Meeting
π Coordinator: 0768526725
Karibu sana ujifunze, upate maarifa na kufungua milango ya mafanikio yako.
Vijana Talk Forum – Tunaunganisha Vijana, Tunajenga Taifa. πΉπΏπ₯

No comments:
Post a Comment