Je, unajua wapi unaweza kupata bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na VETA? Jibu ni Duka la Ujuzi (Ujuzi Shop)! Karibu ujipatie bidhaa bora na za ubunifu kama vile korosho, maziwa, viatu, mabegi, samani za mbao (ikiwemo vitanda, viti na meza), sabuni za kufulia na kuogea, pamoja na bidhaa nyingine nyingi zilizobuniwa kwa ustadi na walimu pamoja na wanafunzi kutoka vyuo vya VETA nchini. Ujuzi halisi, bidhaa bora – karibu Ujuzi Shop!
No comments:
Post a Comment