Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Profesa Adolf Mkenda (Mb) akiangalia koti la suti lililoshonwa na Mnufaika wa Programu ya Utambuzi na Urasimishaji Ujuzi katika fani ya Ubunifu, Ushonaji na Teknolojia ya nguo siku ya tarehe 23 Aprili 2026 katika uzinduzi wa program ya Mama Samia ya Utambuzi na Urasimishaji Ujuzi kwenye viwanja vya VETA Makao Makuu jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment