MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA
UFUNDI STADI (VETA)
INAPENDA KUWAJULISHA WANANCHI WOTE KUWA FOMU ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI
STADI KWA MWAKA 2019 ZITATOLEWA KATIKA VYUO VYOTE VYA VETA NCHINI KUANZIA TAREHE 1 AGOSTI 2018 .
WATU WOTE WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA NA
KUENDELEA WANAOTAKA KUJIUNGA KATIKA VYUO VYA VETA WANAKARISHWA KUCHUKUA FOMU
HIZO
MWISHO WA KUCHUKUA FOMU NI TAREHE 30 SEPTEMBER
2018.
KUPATA
FANI NA MADARAJA ZITAKAZOTOLEWA
KATIKA VYUO VYA VETA MWAKA 2019 FUNGUA KIAMBATANISHI KIFUATACHO
No comments:
Post a Comment