CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Tuesday, 21 July 2020

NDALICHAKO ATIMIZA AHADI ATOA CHEREHANI 10 VETA MPANDA


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako, ametembelea Chuo cha VETA Mpanda na kutoa vyerehani 10 kwa wahitimu wawili wa Fani ya Ushonaji wanaotoka kwenye mazingira magumu na wanafunzi nane wa Fani ya Ushonaji, ambapo wanne wanatoka katika mazingira magumu na wanne wengine ni waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao


No comments:

Post a Comment