CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Monday 2 August 2021

Matukio katika picha ni uzinduzi wa Chuo cha VETA Busokelo uliofanywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) tarehe 1 Agosti, 2021.



 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Chuo cha Ufundi Stadi cha wilaya ya  Busokelo mkoani Mbeya, Agosti 1, 2021. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na kulia ni Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete. 

.






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na aliyekuwa Waziri katika serikali ya Awamu ya Nne, Profesa Mark Mwandosya (kulia) na mkewe Lucy Mwandosya (wa pili kulia)  wakati alipowasili kwenye viwanja vya Chuo cha Ufundi cha wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya kuzindua Chuo hicho, Agosti 1, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




2 comments: