Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Chuo cha Ufundi Stadi cha wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya, Agosti 1, 2021. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na kulia ni Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na aliyekuwa Waziri katika
serikali ya Awamu ya Nne, Profesa Mark Mwandosya (kulia) na mkewe Lucy
Mwandosya (wa pili kulia) wakati alipowasili kwenye viwanja vya Chuo cha
Ufundi cha wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya kuzindua Chuo hicho, Agosti 1, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jaman tangazo la kujiunga na mafunzo yanayo anza 2022 bdo?
ReplyDeletetangazo lilishatoka
Delete