Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA. Anthony Kasore (Wa Pili Kushoto) akipata maelezo kuhusu ubunifu wa kifaa cha kufundishia fani ya Umeme wa Magari, kutoka kwa Andrea Shayo, Mwalimu wa chuo cha VETA Songea, alipotembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya 47 ya Sabasaba.
No comments:
Post a Comment