Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO), Mhandisi Prof. Sylvester Mpanduji akipata maelezo kutoka kwa Mhitimu wa VETA Dodoma katika Fani ya Uchomeleaji na Uungaji Vyuma, Bi. Paulina Chuma juu ya majiko sanifu ikiwa ni miongoni mwa bidhaa anazotengeneza mara baada ya kuhitimu.
No comments:
Post a Comment