CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Thursday 23 May 2024

VETA KATIKA - JUKWAA LA TATU LA USHIRIKISHWAJI WA TANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI JIJINI ARUSHA

 

Mwalimu wa fani ya ukataji na ung'arishaji madini Robert Onesmo wa VETA Shinyanga  akimwelekeza mhitimu wa fani  ya sheria toka chuo kikuu cha Dar es salaam Dorcas Emanuel kwa vitendo jinsi yakutumia kifaa cha light  Microscopes kinacho tumika kufanya utambuzi wa madini Vito alipotembelea banda la VETA katika viwanja vya AICC Jijini  Arusha.

"Kilicho ni vuta kuja kutembelea banda la VETA hasa ilikuwa nikujionea nikwanamna gani kifaa hiki kinavyo tumika kutambua aina gani ya uchafu ipo kwenye madini ilikupata thamani halisi ya madini  kabla  ya kuyauza" amesema Dorcas.

Maonesho hayo ya jukwaa la tatu la madini la utekelezaji wa ushirikishwaji wa wa Tanzania katika sekta ya Madini yatafikia kilele  tarehe 24 Mei 2024 Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment