CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Monday 27 May 2024

Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za msingi mkoani Tanga wakipata maelezo kuhusu fursa za mafunzo, ujuzi na bunifu mbalimbali zinazotolewa na kupatikana katika banda la VETA tarehe 27.05.2024 kwenye Maonesho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayoendelea katika viwanja vya shule ya Sekondari Popatlal jijini Tanga.


 

No comments:

Post a Comment