Chuo cha Mafunzo na ufundi kupitia mradi wa timiza malengo umepanga kuwafikia wanufaika 5,040 walio hatarini kupata maambukizi ya Ukimwi katika Halmashauri 18 kutoka mikoa 6 ya Ruvuma, Njombe, Tabora, Lindi na Mara watapata elimu ya fani mbalimbali katika chuo hicho.
Akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa timiza
malengo, Mkurugenzi wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi wa veta Dkt Abdallah Ngodu alisema kuwa wanufaika wa mradi ni watu wenye umri kati miaka 10 - 24 ambao wapo kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ukimwi.
No comments:
Post a Comment