CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Monday, 20 November 2017

Jinsi ya kujiunga na vyuo visivyomilikiwa na VETA (Vyuo vilivyosajiliwa na VETA)



Utaratibu wa kujiunga vyuo visivyomilikiwa na VETA hutegemea na mmiliki wake. Vyuo vyote vilivyosajiliwa na VETA vinatoa mafunzo yanayokidhi viwango vya soko la ajira. Wanafunzi wote hutumia Miongozo na Mitaala iliyopitishwa na Bodi ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET Board), na wanatahiniwa na kupewa vyeti na VETA.


2 comments:

  1. NATAKA KUJIUNGA CHUO CHA UFUNDI VETA MWANZA BWENI FANI YA UMEME WA MAJUMBANI, NIPO KATORO UTARATIBU UPOJE MSAADA NAOMBA MAWASILIANO YANGU 0754638429. JANUARY M CHRISTOPHER.

    ReplyDelete
  2. Nahitaji kujua garama za kujiunga na kozi ya ICT

    ReplyDelete