Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi (VETA) inawatangazia Wananchi kuwa imefungua rasmi vyuo
vipya sita (6) vya Ufundi Stadi ambavyo ni Ileje (Mbeya), Nkasi (Katavi),
Urambo (Tabora), Namtumbo (Ruvuma), Kanadi (Bariadi-Simiyu), Nyamidaho
(Kasulu-Kigoma). Vyuo hivyo vitaanza kutoa mafunzo katika mwaka wa masomo 2020.
Fomu
za kujiunga na mafunzo zitaanza kutolewa tarehe 1 Agosti hadi 15 Septemba 2019.
Watu wote wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi wanakaribishwa na
wanaombwa wafike katika vyuo vilivyo karibu nao kama ilivyooneshwa kwenye
jedwali lifuatalo ili kuchukua na kujaza fomu za kujiunga.
NA
|
JINA LA CHUO
|
MWASILIANO
|
FANI ZITAKAZOTOLEWA
|
SEHEMU YA KUCHUKUA FOMU
|
1.
|
Chuo cha Ufundi
Stadi ILEJE (KUTWA)
|
MKUU WA CHUO
ILEJE DVTC
S. L. P 125,
ILEJE
|
·
UMEME WA MAJUMBANI (EL)
·
USHONAJI (DSCT)
·
UHAZILI ( SC)
|
CHUO CHA ILEJE
NA VETA MBEYA
|
2.
|
Chuo cha Ufundi
Stadi NKASI (KUTWA NA BWENI)
|
MKUU WA CHUO
NKASI DVTC
S. L. P 116
NKASI
|
·
UMEME WA MAJUMBANI (EL)
·
USHONAJI (DSCT)
·
UHAZILI ( SC)
|
CHUO CHA NKASI NA VETA MBEYA
|
3.
|
Chuo cha Ufundi
Stadi URAMBO ( BWENI NA KUTWA)
|
MKURUGENZI WA
KANDA, KANDA YA MAGHARIBI,
S. L. P. 1218,
TABORA
|
·
UMEME WA MAJUMBANI (EL)
·
USHONAJI (DSCT)
·
UHAZILI (SC)
·
UASHI (MB)
|
CHUO CHA VETA
URAMBO
|
4.
|
Chuo cha Ufundi
Stadi NAMTUMBO (KUTWA)
|
MKUU WA CHUO
SONGEA VTC
S. L. P 902
SONGEA
|
·
UMEME WA MAJUMBANI (EL)
·
USHONAJI (DSCT)
·
UASHI (MB)
·
USEREMALA (CJ)
·
UFUNDI WA MITAMBO MIKUBWA (HDM)
·
UFINDI BOMBA (PPF)
|
CHUO CHA VETA
SONGEA
|
5.
|
Chuo cha Ufundi
Stadi KANADI (KUTWA)
|
MKURUGENZI WA
KANDA, KANDA YA MAGHARIBI,
S. L. P. 1218,
TABORA
|
·
UMEME WA MAJUMBANI (EL)
·
USHONAJI (DSCT)
·
UHAZILI (SC)
|
CHUO
CHA VETA SHINYANGA NA KANADI
|
6.
|
Chuo cha Ufundi
Stadi NYAMIDAHO
(KUTWA NA BWENI)
|
MKURUGENZI WA
KANDA, KANDA YA MAGHARIBI,
S. L. P. 1218,
TABORA
|
·
UMEME WA MAJUMBANI (EL)
·
USHONAJI (DSCT)
·
UHAZILI (SC)
·
UASHI (MB)
|
CHUO
CHA VETA KIGOMA NA NYAMIDAHO.
|
Kwa mawasiliano:
Mkurugenzi Mkuu,
VETA Makao Makuu, S. L. P 2849,
No comments:
Post a Comment