Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya
Ufundi Stadi (VETA)Kwa kushirikiana na Airtell imeanzisha mafunzo kwa njia ya
Simu za Mkononi yajulikanayo kama “VSOMO”
yaani VETA SOMO, Mafunzo yatawawezesha vijana kupata kozi mbalilmbali zitakazotelewa katika vituo
vya VETA nchini.
Anayetaka kujiunga atatakiwa
kuingia kwenye Application ya “VSOMO” Kuanzishwa kwa VSOMO itasaidia kupanua WIGO
na FURSA na kuwafikia vijana wengi zaidi nchini. Karibu hapa kupakua VSOMO App https://goo.gl/QrY0sN
No comments:
Post a Comment