CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Wednesday 15 November 2023

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Prosper Mgaya, amekagua Kikao Kazi cha uhariri wa vitini kwa ajili ya mafunzo ya amali kwenye shule za sekondari nchini,

 

Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Dkt. Prosper Mgaya, leo tarehe 15 November 2023 amekagua Kikao Kazi cha uhariri wa vitini kwa ajili ya mafunzo ya amali kwenye shule za sekondari nchini, kinachofanyika katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Kampasi ya Morogoro (WAMO). Uandaaji wa vitini hivyo unafanywa na wataaamu wa fani mbalimbali chini ya usimamizi wa VETA kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).


Amewapongeza wataalamu kwa kujitoa kwao kwa juhudi na maarifa kufanya kazi hiyo. Amewasihi kutunza vyema kumbukumbu za kazi iliyofanyika na kujiandaa kwa utungaji wa vitabu baada ya kazi ya vitini kukamilika.




No comments:

Post a Comment