Uwekaji Jiwe la Msingi kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Ngorongoro umefanyika, tarehe 26 Septemba 2020, kwenye eneo la chuo hicho wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha. Mgeni Rasmi alikuwa ni Mhe. Idd Hassan Kimanta, Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Shughuli hiyo iliambatana na makabidhiano ya majukumu ya kijamii kwa makundi-rika ya vijana wa kabila la Wasonjo ambao ndo walianzisha harakati za ujenzi wa chuo hicho.
No comments:
Post a Comment