Katika kozi hii, Mwanafunzi utasoma masomo ya nadharia kupitia VSOMO App inayopatikana Google Play Store, kisha utajiunga na Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa kwa ajili ya Mafunzo ya Vitendo kwa muda wa Wiki Mbili. Mafunzo yataanza kuanzia Tarehe 9/08/2022, Baada ya Kuhitimu, mwanafunzi utakayefaulu utatunukiwa Cheti.
Nafasi zilizopo ni kwa wanafunzi 100 Tu.
Namna ya Kuomba ufadhili huu:
1: Pakua VSOMO App kupitia
Google Play store Link https://bit.ly/3nnYBV6
2: Jisajili kwenye mfumo wa VSOMO
3: Kisha Chagua Ajira Kwa Vijana na ujaze fomu ya maombi!
No comments:
Post a Comment