Msisitizo wa elimu ya ujuzi
ambao umesisitizwa kwenye Sera ya Elimu ya 2014 Toleo la 2023 iliyozinduliwa na
Rais Samia Suluhu Hassan umeziibua taasisi za VETA na NACTVET na kueleza kile wanachotarajia
kukitekeleza ili kuongeza tija kwa wananchi.
Hawa hapa watendaji wa juu wa taasisi hizo.
No comments:
Post a Comment