
Je ,Wewe ni kijana mwenye ujuzi wa ufundi stadi ?
Je, una uwezo wa kuonesha umahiri na ubunifu wa kipekee katika ujuzi wako katika sekta rasmi na Isiyo Rasmi ?
Mamlaka
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inaratibu mchakato wa mashindano ya Wabunifu
wa Ufundi Stadi na Wabunifu kutoka Sekta Isiyo Rasmi. Karibu ushiriki katika
mashindano hayo kwa kutuma taarifa fupi kuhusu ubunifu wako kwenye email pr@veta.go.tz nasi tutakumia mwongozo zaidi.
No comments:
Post a Comment