CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Sunday, 30 March 2025

MELENGO NI KUJENGA VETA WILAYA ZOTE 183 - WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA


 "Serikali inajenga VETA, tumeanza kila mkoa tumemaliza mikoa yote ina VETA ya mkoa, sasa tunaenda Wilaya tumeanza na Wilaya 28 na mwaka wa fedha huu tunajenga VETA nyingine 38 malengo tuzifikie wilaya zote 183 ziwe na VETA kwa lengo kufungua nafasi kwa vijana wenye uhitaji wa kujifunza Ufundi Stadi waende wakasome VETA" __________Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na Wananchi wa Makambako mkoani Njombe.

No comments:

Post a Comment