VETA YAWAONGEZEA UFANISI MADEREVA WETU WA ESTATES TANZANIA.
Mkufunzi kutoka chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) @vetachangombe Kigalu Sawaka akiwa katika picha ya pamoja na madereva wa Kampuni ya ESTATES TANZANIA Mara baada ya kumalizika kwa darasa lililondaliwa na chuo hicho katika kuwaongezea Ujuzi na Ufanisi Madereva wa kampuni hiyo.
Darasa hili kutoka VETA @veta_tanzania litaendeshwa kwa siku 7 na wakufunzi tofauti tofauti kutoka Chuo cha VETA Chang’ombe.
No comments:
Post a Comment