Kwako Malkia, Mtoto wa kike, #kijumbehodari, Fundi wa rangi za magari kutoka chuo cha ufundi VETA @veta_tanzania ana ushauri huu kwaajili yako. “Wasichana nawaomba waje, wazazi, walezi, wajitahidi kuleta watoto wao katika fani hii, wasiogope hii fani iko na fursa nyingi, hasa anapoonekana kuwa ni mtoto wa kike anakuwa na fursa nyingi sana za kupata ajira” Amesema Kijumbe hodari.
No comments:
Post a Comment