Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akisalimiana na Mkuu wa
Mkoa wa Tabora Aggey Mwandri baada ya kuwasili katika chuo cha Ufundi Stadi cha
Wilaya ya Urambo.Kulia ni Mbunge wa Urambo Mashariki Mhe. Magreth Sitta
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Urambo.Wa kwanza kulia ni
Mbunge wa Urambo Mashariki Mhe.Magreth Sitta akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Aggrey Mwandri na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Peter Maduki akifuatiwa
na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Dkt. Pancras Bujulu.
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akivuta utepe kuzindua chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Urambo.Kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey
Mwandri.
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akipata maelezo kutoka
kwa Mwenyekiti wa Bodi ya VETA Peter Maduki wakati wa uzinduzi wa chuo cha
Ufundi Stadi cha Wilaya ya Urambo.
Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na wananchi
waliojitokeza kuhudhuria uzinduzi wa chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Urambo.
No comments:
Post a Comment