Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Kioo Limited Ndg.
Jacob Msuya (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi wa fani ya
Umeme alipotembelea karakana chuoni hapo wakati wa mahafali ya 49 ya Chuo cha
VETA Dar es Salaam Novemba 8, 2019. Wengine ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Bi.
Violeth Fumbo (wa tatu kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar es
Salaam Bw. Wilfred Camil (wa kwanza kulia) na Kaimu Msajili wa Chuo hicho Bi
Clara Lugwisha.
Mgeni
rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha VETA Dar es Salaam ambaye ni Meneja
Rasilimali Watu wa Kampuni ya Kioo Limited Ndg. Jacob Msuya akipata maelezo juu
ya mafunzo katika fani ya Uchapaji wakati alipotembelea karakana chuoni hapo.
|
No comments:
Post a Comment