CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Monday 3 February 2020

KUONGEZWA KWA MUDA WA KUWASILISHA MAOMBI YA KUSHIRIKI MASHINDANO YA KITAIFA YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU (MAKISATU) 2020





Ikiwa wewe ni mbunifu na ungependa kuwasilisha ubunifu wako kwenye Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakutangazia kuwa muda wa kuwasilisha maombi umeongezwa hadi tarehe 10 Februari, 2020.

Tumia muda huu kuwasilisha taarifa za ubunifu wako ili ushiriki mashindano haya.

Fomu zinapatikana kwenye tovuti ya VETA www.veta.go.tz na kwenye mitandao yetu ya Kijamii
 Pakua hapa Mwongozo na Fomu kwa ajili ya Mashindano hayo.

Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi piga simu au tuma ujumbe mfupi kwenda namba 0736505027 au 0755267489

Kumbuka VETA inaratibu mashindano kwa makundi ya vyuo vya ufundi stadi na sekta isiyo rasmi


No comments:

Post a Comment