CONTACT US: VETA Head Office, P.O.Box 802 Dodoma Tanzania, Plot No. 18, Central business Park (CBP). E-mail: info@veta.go.tz / pr@veta.go.tz/ Telephone: +255 26 2963661 Mobile +255 755267489 Fax: +255 22 2863408 / Url: www.veta.go.tz

Wednesday 1 April 2020

TUSHIRIKISHE MAFANIKIO YAKO






Wewe ni mhitimu wa ufundi stadi? 

Uwe umeajiriwa au kujiajiri.
Una jambo la mafanikio katika fani yako ya ufundi stadi?
Tunaomba utushirikishe na tulitangaze ili wengine wajifunze na kuhamasika kutoka kwako.

Tutumie taarifa kwenye pr@veta.go.tz au piga 0755 267489

No comments:

Post a Comment